Loading ...

0
Category

Reviews

5 (1 Rating)

Preview this course

Course Description

"UKUBWA WA MAWAZO SI UKUBWA WA MAFANIKIO YAKO. KAMA HUWEZI KUUZA UTAPORWA NA WAUZAJI NA HATA KAMA HUTAPORWA UTAISHIA KUFA NJAA TU MJINI. KIKUBWA KULIKO YOTE NI SANAA YA KUUZA."


Kama huwezi kuuza, Kama huwezi kumfanya mteja atoe hela yake mfukoni , Kama huwezi kushawishi mtu akubaliane na wewe funga biashara yako, achana kabisa na uzalishaji kwasababu unapoteza muda. Eti unaniambia nazalisha bidhaa nzuri au sijui mimi ni mshauri au sijui tunatoa huduma nzuri sijui bima sijui nini kama huwezi kumfanya mteja atoe hela mfukoni ...vya nini hivyo vyoteeee? Hata kama una bidhaa nzuri, wazo kubwaa au huduma nzuri kupita huduma zote duniani lakini huna ujuzi wa kuuza sahau mafanikio. Sahau kabisa


MAMBO UTAKAYOJIFUNZA NA KUNUFAIKA



·         Utajifunza namna yakubadilisha watu hata wale usiowajua kuwa wateja wako.

·         Utajifunza namna ya kuja na VITUKO ambavyo haviwezi kupuuzwa vya kuwavuta wateja

·         Utajifunza namna ya Kutengeneza Chambo zinazofanya kazi za kunasa wateja

·         Hakuna anayeweza kusoma akili yako. Hivyo basi, matumizi mazuri ya meseji unayotaka kufikisha kwa wateja ni ujuzi wa mamilioni. Ujuzi huo unaitwa Copywritting. Utajifunza namna bora ya kufikisha ujumbe unaoweza kumfanya mtu atoe hela yake mfukoni.

·         Utajifunza misingi saba ya kuuza na namna unaweza kuwa mashine inayouza(Selling Machine)

·         Utajifunza mbinu 2 kubwa za kumfanya mtu anunue kwako na aendelee kununua kwako.

·         Utajifunza hatua kubwa 7 za kumfanya mteja atoe hela yake mfukoni.

·         Utajifunza kutengeneza ofa 20 zisizopingika hata iweje, mteja atatoa hela tu

·         Utajifunza mbinu mbalimbali za kubadili watu hata usiowajua kuwa wafuasi wako kwenye biashara yako.

·         Vitabu na Miongozo mbalimbali pamoja na Video za mifano unazoweza kujifunza kwao.


WALENGWA KATIKA KOZI HII NI WAFUATAO:

  • Wajasiriamali ambao wana bidhaa au huduma lakini hawauzi vya kutosha.
  • Yeyote anayetaka kuingia kwenye biashara, kuuza ndiyo uhai wa biashara yoyote.
  • Wafanyakazi wa mauzo kutoka kampuni mbalimbali wanaotaka kuwa bora katika kuuza na kujiongezea kipato.
  • Yeyote mwenye ndoto au wazo ambaye bado anatafuta njia za kushawishi wengine au wawekezaji wawekeze kwake.

JISAJILI LEO UPATE ACCESS YA KOZI HII MILELE...

Course Curriculum

1 Hatua za kubadili watu usiowajua kuwa wateja(Sales Funnel)
15
2 Kanuni za Kubadili usiowajua kuwa wateja
15
3 Jinsi ya kuteka hisia za wateja(The Golden Rule)
15
4 Jifunze The Golden Rule kwa Video
13
1 Hatua ya Kwanza ya Kutumia Maneno kupata mauzo mengi sana(Copywritting Stages)
15
2 Hatua ya Pili ya Copywritting: Tengeneza Ofa Isiyopingika
25
3 Namna ya Kuja na Ofa Zisizopingika
15
4 Hatua ya Tatu ya Copywritting(Kucheza na Nguvu ya Maneno kupata wateja wengi)
20
5 Jifunze kutengeneza Headlines zinazosisimua na kuvuta wateja
10
1 Mbinu za kuunda mtego usiokwepeka wa kunasa wateja.
15
2 Mbinu no.2 ya Kuunda Mtego usiokwepeka kunasa wateja
15
1 Jinsi ya Kukusanya Mtandao wenye thamani
15
2 Hatua za kushawishi mtandao ulionao kukuletea hela
14

Student Feedback

ONGEZA MAUZO MENGI,TAWALA SOKO

Course Rating
0.00%
0.00%
0.00%
0.00%
0.00%

No Review found

Sign In or Sign Up as student to post a review

Reviews

Shopping Cart

Loading...