Nini utajifunza katika Kozi hii?
Kabla hujajiunga na Kozi hii naomba nikuonye: HUWEZI KUFANIKIWA KATIKA VYANZO HIVI BILA KUUNGANA NA MTU MWINGINE. Ili uweze kujenga mfumo mzuri wa biashara hizi nitakazokushirikisha lazima uungane na mtu ambaye ana kitu ambacho wewe huna. YOU NEED ALLIES. YOU NEED PARTNERS.....
UTANUFAIKA NA MAMBO YAFUATAYO:
1. Miradi 8 itakayokutengenezea kipato ukiwa kwenye Ajira isiyohitaji muda wako.
2. Mikakati itakayokuwezesha ufanikishe miradi hiyo.
3. Namna ya kuanza kulingana na kianzio ulichonacho.
4. Ujuzi unaotakiwa kujifunza pamoja na watu unaotakiwa kushirikiana nao kufanikisha miradi yako.
5. Fomula ya kufuata ili biashara yako iendelee kukua zaidi bila uwepo wako
6. Utapewa vitabu pamoja na mwongozo wa kukusaidia kufanikisha miradi yako yaani Business kits.
KWANINI LAZIMA UJISAJILI KATIKA KOZI HIII?
Kama wewe ni mfanyakazi na unataka kipato zaidi, ukiwa kazini. Jisajili kozi hii
Unataka kujitengenezea kipato ukiwa masomoni, jisajili kwa kozi hii
Unataka kuwekeza kwenye miradi mbalimbali kama mjasiriamali, jisajili kwa kozi hii.
Umechoka kufanya biashara zisizo na faida zilizopoteza mitaji yako mingi, nakusihi leo jisajili katika kozi hii.
Unataka kupata mitaji kirahisi kutoka kwa wawekezaji wanaopenda kuwekeza kwenye miradi ya passive income, jisajili katika kozi hii