Ndani ya Kozi hii utanufaika na kujifunza yafuatayo:
1) Vikwazo vinavyokuzuia usipate mitaji
2) Vifaa unavyotakiwa kuwa navyo ili upate mtaji wowote unaohitaji.
3) Namna ya kujipakeji na kujiandaa ili upate mitaji na uwekezaji wowote unaotaka.
4) Mambo ya msingi ya kuzingatia ili uhakikishe mitaji inakuja kwako liwalo na liwe.
5) Vyanzo 15 vya mitaji na uwekezaji wa biashara yako.
6) Fomula 10 zinazotumiwa na wajasiriamali wajanja kupata mitaji.
7) Links zaidi ya 500 za mitaji ambazo unaweza kuzitumia kupata mitaji.
8) Vitabu na Miongozo mbalimbali ya Namna ya kufanya biashara, kuuza na kupata mitaji.